The bros' heated derby: Benefits and Challenges of studying Inside and Outside Tanzania based on experience
The Insightful Podcast Show (TIPS)11/29/22 • 78 min
Tanzania ya sasa asilimia kubwa ya wenye uwezo na fursa hukimbilia kusoma nje, je! ni kwanini?. Kwenye episode hii tumeweza kuelezewa ubora uliopo wa kusoma njee na mwanafunzi aliepata nafasi ya kwenda kusoma huko. Nicholaus ametueleza kuna faida gani mtu huipata kwenye kwenda kusoma njee na pia ameweza kutusanua mapungufu yaliopo kwenye kwenda kusoma nje
Ila pia tukaangalia upande wa pili wa shilingi, kwa kuelezewa ubora na upungufu wa kusoma njini na mshkaji wetu Harun, ambae amepata nafasi ya kusoma nchini kwahio anachokieleza ni kulingana na experience alioipitia au anachokiona yeye.
Baada ya kuyajua hayo pia.nikawaomba watupe majibu ya stori zilizopo vijiweni ili tujue kama kuna ukweli wowote juu ya stori hizo.
Baada ya kusikiliza episode hii naamini tutazijua changamoto zilizopo pande zote mbili na kufanya maamuzi sahihi juu ya wapi kwenda kusoma na pia ni wapi sisi kama taifa tunafeli na kutafuta suluisho.
11/29/22 • 78 min
Generate a badge
Get a badge for your website that links back to this episode
<a href="https://goodpods.com/podcasts/the-insightful-podcast-show-tips-214721/the-bros-heated-derby-benefits-and-challenges-of-studying-inside-and-o-25208308"> <img src="https://storage.googleapis.com/goodpods-images-bucket/badges/generic-badge-1.svg" alt="listen to the bros' heated derby: benefits and challenges of studying inside and outside tanzania based on experience on goodpods" style="width: 225px" /> </a>
Copy