Log in

goodpods headphones icon

To access all our features

Open the Goodpods app
Close icon
headphones
The Insightful Podcast Show (TIPS)

The Insightful Podcast Show (TIPS)

Carlton

Step into the world of previously called Career Talks na Washkaji, now called The insightful Podcast Show (TIPS) a captivating podcast show that takes you on an insightful journey through the tapestry of careers and success stories. Hosted by the dynamic duo, Carlton Justis and Salim Ramadhani, this podcast is more than just a talk – it's a conversation that resonates with the dreams and aspirations of the young generation. Tune in to this engaging series, available across all digital platforms, as Carlton and Salim invite their friends (Washkaji) to the virtual table for candid discussions about their unique career paths.
Imagine a gathering of close friends, each with a distinct career trajectory, sharing their triumphs, trials, and the invaluable lessons they've learned along the way. Carlton, with his warm demeanor and passion for learning, leads the conversations that delve into the heart of various professions. The goal? To equip the yungen, the ambitious youth, with a roadmap of possible challenges and obstacles they might encounter on their own journey to success.
In this podcast, you're not just a listener – you're an active participant in unraveling the mysteries of different vocations. With a microphone in hand and curiosity in their hearts, Carlton and Salim unearth the pearls of wisdom that only firsthand experience can provide. They go beyond the surface to uncover the intricacies of success, offering inside tips and tricks that could make the path to achievement a tad smoother.
Yet, TIPS isn't just about career guidance. It's a movement. A movement that empowers the youth to foster a resilient mindset and believe in their ability to overcome challenges. Through the stories of others, the podcast creates a tapestry of hope and inspiration, weaving together narratives of determination, perseverance, and transformation. As listeners, you'll find yourself not just absorbing information, but also gaining a newfound belief in your own potential
At its core, this podcast isn't just a show; it's a community. A community that amplifies diverse voices and opens up a space for everyone to express their opinions. Carlton and Salim foster an environment where opinions are heard, respected, and valued, creating a platform where learning is a two-way street. It's a digital haven where different perspectives converge, sparking insightful conversations that contribute to personal growth

bookmark
Share icon

All episodes

Best episodes

Seasons

Top 10 The Insightful Podcast Show (TIPS) Episodes

Goodpods has curated a list of the 10 best The Insightful Podcast Show (TIPS) episodes, ranked by the number of listens and likes each episode have garnered from our listeners. If you are listening to The Insightful Podcast Show (TIPS) for the first time, there's no better place to start than with one of these standout episodes. If you are a fan of the show, vote for your favorite The Insightful Podcast Show (TIPS) episode by adding your comments to the episode page.

The Insightful Podcast Show (TIPS) - Prelude: Know what this Podcast is about

Prelude: Know what this Podcast is about

The Insightful Podcast Show (TIPS)

play

10/03/22 • 3 min

Tupe maoni yako.

Kila mtu huwa na ndoto za mafanikio tunachotofautiana ni njia, na ukubwa wa ndoto hizo. Wapo wenye ndoto za kuwa mabilionea, na pia wapo wenye ndoto za kuweza kupata mlo wa leo tu. Na tofauti hizo naimani husababishwa na makuzi ya nyumbani, marafiki tunaojizungunga nao Pamoja na fursa tunazozipata au kuzaliwa nazo. Mimi binafsi naamini vitu hivyo vitatu vinaenda sambamba kuijenga ‘mindset’ ya mtu. Nchi nyingi za Africa hali duni ya manyumbani hupelekea mtu kujifunga kifikra na hii husababishwa sana na ukosefu wa elimu Pamoja na utandawazi. Marafiki pia hujenga mindset ya mtu kwani ukijizunguka na marafiki wenye mawazo makubwa na chanya huwenda kukafanya pia akili yako kupanuka na kuweza kuwa na mawazo makubwa na chanya ila pia ukiwa na marafiki wasiwo na mawazo makubwa, hata kama wewe unamawazo makubwa huwenda wakasababisha akili yako kudumaa na kuona kila unalofikiria ni hadithi tu, yaani mawazo yasiowezekana.

Nina Imani kwamba mtu kupata fursa sio bahati bali ni kujituma na kuitafuta hio fursa au kujiweka njia amazo fursa hizo hupita. Ila kutokana na ukosekanaji wa ‘exposure’ kwa watu wengi naamini ndo maana huwenda hatuzipati fursa hizo. Hii ndio mmoja ya sababu ya kuanzisha podcast hii Career talks na washkaji. Ambapo tutakuwa tunajaribu kukusogezea karibu washkaji walioweza kupata fursa tofauti tofauti ili waweze kutuvumbua ni jinsi gani wameweza kupata fursa hizo ili nasi tuweze kujifunza na kujiegesha katika njia za hizo fursa

Kujifunza sio darasani tu, ila hata kusikiliza story za washkaji huwenda ukajifunza kitu na ndio maana tumejaribu kuwaomba washkaji zetu bahadhi waweze kutuelezea uni experience zao ili sisi ambao bado hatujaanza chuo tuweze kupata picha ya kifwatacho mbele ila pia hatakama sio kitu kitakachofwata kwako kusikiliza experience ya mwingine huwenda ukajifunza kitu kutoka kwake na kikakusaidia maishani.

bookmark
plus icon
share episode
The Insightful Podcast Show (TIPS) - Acquaint with the far east: What to expect while studying in the Far East
play

10/05/22 • 37 min

Tupe maoni yako.

Nimekutana na washkaji zangu kutokea pande za ‘Far east’ wakijaribu kunielezea maisha ya mwanachuo yanavyokuwa na vitu gani tutegemee kama tunapanga kwenda kusoma huko. Nimepata pia nafasi ya kuwauliza kuhusu story zinazopigwa na washkaji vijiweni kuhusiana na nchi hizo ili waweze kutuambia kama hizo story zinaukweli au tulikuwa tunapangwa tu.

Story kuhusiana na Malaysia tumepewa na charity anaesoma Nottingham University branch ya Malaysia, na mchongo mzima wa India mwanagu Athman ndo kawakilisha na tumepata info za kututosha kujua pakuanzia tukienda huko.

Kwa yeyote aliepanga kwenda kusoma pande hizo naamini kuna mwanga umepata na kama kuna maswali ya ziada unaweza kuuliza kwenye social media platform zetu

bookmark
plus icon
share episode

Tupe maoni yako.

“Kuwa rubani unasomea leseni mwaka mmoja tu umemaliza!”, ndio maneno wengi wanasema na kufanya urubani ionekane kuwa kazi rahisi. Ingawa ndio huenda ukaifanya mda mfupi zaidi ya degree ya kawaida, ila pia kuifanya muda mrefu zaidi ya degree inawezekana ukiwa mzembe, na hii ni kwa mujibu wa John.

John yeye amehitimu course ya leseni ya Commercial Pilot Licence (CPL) ambayo pia ilimlazimu apate leseni zininge kwanza ndo afikie kiwango cha kupata leseni hii. Hizo leseni zote tumeweza kuelezewa vizuri ni jinsi gani tunaweza kuzipata. Hakuishia hapo, ila ametueleza safari ya urubani haiishi kwenye CPL kwani ipo leseni ya juu zaidi ya hii, ambayo ametuelezea ugumu na mahitaji yakuipata na kwanini yeye hakuendelea mpaka kuipata hii leseni.

Kwenye maongezi yetu tumeongelea pia ya kutegemea baada ya kuzipata leseni hizo ili kutimiza safari ya kuwa rubani, kwani leseni pekeake haitoshi!. Kwa wanaojiuliza kama rubani anaweza kwa mgonjwa wa macho? naamini kajibu pia hilo swali. Baada ya story na mshkaji wangu nimepata kujua kwamba safari ya urubani sio rahisi na inahiitaji ‘self-control’ wewe je umejifunza nini?.

bookmark
plus icon
share episode

Tupe maoni yako.

Ukiachana na sababu kwanini Watanzania wanaopata scholarship ni wachache, kuwa mthubutu; kuwa na subira, pamoja na kuyapambania malengo hayo ni mambo machache niliojifunza kutoka kwa Fuad humu ndani.

Huwenda ni ndoto zako kupata scholarship chuoni, niimani tulionayo ukisikiliza hii episode utakuwa umepata mwanga mkubwa sana wa kuweza kukongoza ni wapi pa-kupita na vipi vya kufanya ili kujianda na mpaka kuipata hio fursa ya scholarship.

Fuad humu ametusanua ni jinsi gani sisi hatupo exposed na fursa hizi (scholorship) na hata tukiwa exposed ni katika umri mkubwa sana tukilinganisha na mataifa mengine kitu ambacho kinachopelekea kuzikosa fursa hizi, kwani tunakuwa tunamaandalizi dhaifu.

Fuad ni mwanachuo anaesoma New York University – Abu Dhabi (NYU-Abu Dhabi) na kwa maua machache ya kumpamba ni mshkaji wangu anaejua kujieleza vizuri kwa ufasaa na mtu smart kumsikiza.

bookmark
plus icon
share episode

Tupe maoni yako.

Ukitaja nchi zenye elimu bora, ni-imani yangu Uingereza nayo itawemo. Hii ni kutokana na kuwa na vyuo vizuri na watu wenye “background” tofauti tofauti, inayomfanya mwanafunzi anaeenda kusoma huku apate kujifunza na kupata “exposure” ya kutosha, hayo ndo maoni yangu juu ya kwenda kusoma Uingereza

Kwenye “episode” hii tumeweza kupata maoni mengine juu ya kusoma Uingereza kutoka kwa Faith. Ambaye yeye ni mwanafunzi nchini humo kwa miaka mitatu sasa, kuachilia mbali maoni yake juu ya kusoma huko, ametueleza pia ni vitu gani vya kuzingatia kuazia unapoanza ku-apply visa mpaka kufika nchini humo.

Faith pia ametuakikishia usalama wa nchini humo ni mzuri na kutuelezea pia kuhusu mfumo mzima wa kupata matibabu ukiwa nchini humo kama mwanafunzi. Mbali na kuiongelea Uingereza Faith pia ametuelezea na kutupa ushauri sisi kama wanachuo kutoka sehemu yeyote na kutuelezea umuhimu wa kujichanganya na kujitoa kwenye “activities” tofauti tofauti vyuoni.

bookmark
plus icon
share episode

Tupe maoni yako.

Tanzania ya sasa asilimia kubwa ya wenye uwezo na fursa hukimbilia kusoma nje, je! ni kwanini?. Kwenye episode hii tumeweza kuelezewa ubora uliopo wa kusoma njee na mwanafunzi aliepata nafasi ya kwenda kusoma huko. Nicholaus ametueleza kuna faida gani mtu huipata kwenye kwenda kusoma njee na pia ameweza kutusanua mapungufu yaliopo kwenye kwenda kusoma nje

Ila pia tukaangalia upande wa pili wa shilingi, kwa kuelezewa ubora na upungufu wa kusoma njini na mshkaji wetu Harun, ambae amepata nafasi ya kusoma nchini kwahio anachokieleza ni kulingana na experience alioipitia au anachokiona yeye.

Baada ya kuyajua hayo pia.nikawaomba watupe majibu ya stori zilizopo vijiweni ili tujue kama kuna ukweli wowote juu ya stori hizo.

Baada ya kusikiliza episode hii naamini tutazijua changamoto zilizopo pande zote mbili na kufanya maamuzi sahihi juu ya wapi kwenda kusoma na pia ni wapi sisi kama taifa tunafeli na kutafuta suluisho.

bookmark
plus icon
share episode

Tupe maoni yako.

Kwa dunia ya sasa, Bachelor’s degree huwenda isitoshe kama unampango wa kuajiriwa, kwani ni watu wengi sana wamebahatika kupata degree sawa na yako, sahivi wasomi ni wengi. Kutokana na hilo kujiongeza na kujitofautisha na wengine ni muhimu ili uweze kupata kuajiriwa.

Kutokana na mauni ya wengi; kama ulikuwa na mpango wa kuwa muhasibu (accountant), wanashauri kusoma ACCA baada ya degree, na wanaenda mbali zaidi na kushauri kutafuta chuo ambacho kipo accredited na ACCA kwenye degree unayosomea ili uwe exempted kweneye mitihani kadha.

Kama unajiuliza ACCA ni nini basi ime-elezewa na Hans kwenye episode hii na amejaribu kutufafanulia pia ni jinsi gani tunaweza kujiandaa; na vitu gani vya kuzingatia kama tunampango wa kupata ACCA. Mshkaji wetu Hans anajianda na mitihani hio na huenda miaka/miezi kadha ijayo akawa ACCA member, Hans ameshauri pia ni mtu yeyote anaweza kujaribu kuufanya mtihani huu sio lazima mwenye ndoto ya kuwa muhasibu tu.

bookmark
plus icon
share episode

Tupe maoni yako.

Jinsi tunavyovaa ndo jinsi tunavojitambulisha kwa watu wasiotujua kabla hata hatujaongea nao. Na imeshazoeleka kuwa, kuna nguo ukivaa ndo unaonekana ‘smart and competent’ na zingine unaonekana bishoo au mhuni. Je unahisi ni sawa au tunaitaji kubadilika?

Kwenye episode hii mimi pamoja na washkaji zangu Erasmos na Salim, tumejadili kuona maoni tofauti na kujua mawazo ya kila mtu kuona kama uvaaji wa nguo maalum kama suti, ni muhimu ili kuchukuliwa ‘competent’ kazini. Kila mmoja wetu ametoa maoni yake ili tupate kujua kama tunatakiwa kubadilika kutokana na utandawazi au tubaki kwenye kujifunga kuvaa nguo maalum ili kuonekana ‘competent’ kazini.

bookmark
plus icon
share episode
The Insightful Podcast Show (TIPS) - The Story time: What to Expect while in Uni

The Story time: What to Expect while in Uni

The Insightful Podcast Show (TIPS)

play

01/11/23 • 37 min

Tupe maoni yako.

Ukiongea na mtoto mdogo atakuambia anatamani kuwa mkubwa na kuanza kujitegemea, sawa sawa na mtu alie Advance anavyotamani kwenda chuo bila kuwaza ya kwamba tunavyokuwa majukumu nayo yanaongezeka. Ila ndo ‘nature’ yetu wanadamu, kuwa na expectations ya mazuri tu bila kuziwazia changamoto tunazotakiwa kuzipitia ili kufikia hizo expectation zetu

2013 ndio mwaka nilikutana na Salim ila sio kwa ukaribu kwani ndio mwaka tulianza kusoma shule mmoja. Tulipokaribia kuhitimu kidato cha nne ndipo ukaribu wangu na salim ulijengeka na ilitokana na kuwa tulijikuta wote tunataka kubadilisha ‘curriculum’ na ndipo tukawa tunakaa Pamoja na kuapply shule Pamoja. Na hio safari ya urafiki ndipo ilianzia hapo na nikabahatika kumaliza nae mpaka chuo kimmoja tukiwa tunafanya course mmoja. Ingawa ndio mtu ambaye nabisha nae sana, Salim ni kati ya watu ninao wajua ambao ni humble sana na mshauri mzurii sana.

Kwenye episode hii Salim amejaribu kutupa experience yake ya kielimu alioipata sehem tofauti. Kajaribu pia kutoa maoni yake juu ya education system iliopo Tanzania kulingana na exposure yake alioipata kwa kupata nafasi yakusoma UK pia. Humu ndani pia tumeongelea vitu vya ku concider kabla ya kuchagua chuo na mafunzo machache aliyoyapata salim, kutokana na chuo.

Funzo kubwa nilioipata kupitia epidode hii ni kuwa tuwe tunafikiria jambo kwa ukubwa sana kabla ya kufanya na tukiwa tunafikiria tuwe tunaziangalia pande zote mbili za shilingi na tusiangalie upande mmoja tu.

bookmark
plus icon
share episode
The Insightful Podcast Show (TIPS) - Forex Trading ni Biashara kama biashara zingine: With Forex Trader (Sir Samwel)
play

09/25/24 • 82 min

Tupe maoni yako.

In this episode, I sit down with an experienced Forex trader Sir Samwel to uncover the truth behind common Forex rumors and misconceptions. We dive deep into his personal journey, exploring his life before entering the Forex world and how he successfully navigated the industry over the past seven years. From challenges to victories, he shares invaluable insights and advice for anyone interested in understanding Forex trading from someone who’s lived it.

bookmark
plus icon
share episode

Show more best episodes

Toggle view more icon

FAQ

How many episodes does The Insightful Podcast Show (TIPS) have?

The Insightful Podcast Show (TIPS) currently has 35 episodes available.

What topics does The Insightful Podcast Show (TIPS) cover?

The podcast is about Career Growth, Personal Development, Career Development, Podcasts, Self-Improvement, Education, Business and Careers.

What is the most popular episode on The Insightful Podcast Show (TIPS)?

The episode title 'Acquaint with the far east: What to expect while studying in the Far East' is the most popular.

What is the average episode length on The Insightful Podcast Show (TIPS)?

The average episode length on The Insightful Podcast Show (TIPS) is 52 minutes.

How often are episodes of The Insightful Podcast Show (TIPS) released?

Episodes of The Insightful Podcast Show (TIPS) are typically released every 14 days.

When was the first episode of The Insightful Podcast Show (TIPS)?

The first episode of The Insightful Podcast Show (TIPS) was released on Oct 3, 2022.

Show more FAQ

Toggle view more icon

Comments