A Scholar's say on Scholarships: How to get a scholarship abroad and what to expect once granted
The Insightful Podcast Show (TIPS)11/02/22 • 52 min
Ukiachana na sababu kwanini Watanzania wanaopata scholarship ni wachache, kuwa mthubutu; kuwa na subira, pamoja na kuyapambania malengo hayo ni mambo machache niliojifunza kutoka kwa Fuad humu ndani.
Huwenda ni ndoto zako kupata scholarship chuoni, niimani tulionayo ukisikiliza hii episode utakuwa umepata mwanga mkubwa sana wa kuweza kukongoza ni wapi pa-kupita na vipi vya kufanya ili kujianda na mpaka kuipata hio fursa ya scholarship.
Fuad humu ametusanua ni jinsi gani sisi hatupo exposed na fursa hizi (scholorship) na hata tukiwa exposed ni katika umri mkubwa sana tukilinganisha na mataifa mengine kitu ambacho kinachopelekea kuzikosa fursa hizi, kwani tunakuwa tunamaandalizi dhaifu.
Fuad ni mwanachuo anaesoma New York University – Abu Dhabi (NYU-Abu Dhabi) na kwa maua machache ya kumpamba ni mshkaji wangu anaejua kujieleza vizuri kwa ufasaa na mtu smart kumsikiza.
11/02/22 • 52 min
Generate a badge
Get a badge for your website that links back to this episode
<a href="https://goodpods.com/podcasts/the-insightful-podcast-show-tips-214721/a-scholars-say-on-scholarships-how-to-get-a-scholarship-abroad-and-wha-24694942"> <img src="https://storage.googleapis.com/goodpods-images-bucket/badges/generic-badge-1.svg" alt="listen to a scholar's say on scholarships: how to get a scholarship abroad and what to expect once granted on goodpods" style="width: 225px" /> </a>
Copy