Log in

goodpods headphones icon

To access all our features

Open the Goodpods app
Close icon
headphones
SBS Swahili - SBS Swahili

SBS Swahili - SBS Swahili

SBS

Independent news and stories from SBS Audio, connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians. - Taarifa huru na hadithi zinazo kuunganisha na maisha nchini Australia nawa Australia wanao zungumza Kiswahili
bookmark
Share icon

All episodes

Best episodes

Top 10 SBS Swahili - SBS Swahili Episodes

Goodpods has curated a list of the 10 best SBS Swahili - SBS Swahili episodes, ranked by the number of listens and likes each episode have garnered from our listeners. If you are listening to SBS Swahili - SBS Swahili for the first time, there's no better place to start than with one of these standout episodes. If you are a fan of the show, vote for your favorite SBS Swahili - SBS Swahili episode by adding your comments to the episode page.

SBS Swahili - SBS Swahili - Taarifa ya Habari 12 Novemba 2024

Taarifa ya Habari 12 Novemba 2024

SBS Swahili - SBS Swahili

play

11/12/24 • 16 min

Waziri Mkuu Anthony Albanese ametoa pongezi kwa mkongwe wa vita vya Vietnam Richard Norden, ambaye amepewa tuzo baada ya kufa ya ngazi ya juu zaidi ya jeshi la Australia ya Victoria Cross.
bookmark
plus icon
share episode
Dj Mozz ni mmoja wa vijana, wenye jina kubwa katika sekta ya burudani nchini Australia.
bookmark
plus icon
share episode
SBS Swahili - SBS Swahili - Taarifa ya Habari 25 Septemba 2022

Taarifa ya Habari 25 Septemba 2022

SBS Swahili - SBS Swahili

play

09/25/22 • 18 min

Upinzani wa shirikisho umekataa kusema kama utaunga mkono, kuengeza muda wa makato ya kodi ya petroli, ambayo inatarajiwa kuisha usiku wa Jumatano 28 Septemba 2022.
bookmark
plus icon
share episode
Wakati kukiwa matukio yanayo zunguka mazishi ya malkia pamoja na siku ya taifa ya maombolezi, mjini Canberra kume kuwa shughuli za kimya kimya wiki hii katika tathmini ya Jenkins.
bookmark
plus icon
share episode
SBS Swahili - SBS Swahili - Milton: "Lengo lakundi letu niku kutanisha naku unganisha wanaume"
play

09/22/22 • 12 min

Wanaume kote duniani mara nyingi huwa wana lalamikia uhaba wa huduma, namashirika yanayo toa huduma zinazo walenga.
bookmark
plus icon
share episode
SBS Swahili - SBS Swahili - Nini hutokea mtoto wako anapofikisha miaka 18 nchini Australia?
play

09/22/22 • 11 min

Je! kuwa mtu mzima kuna maanisha nini katika hali ya vitendo?
bookmark
plus icon
share episode
SBS Swahili - SBS Swahili - Taarifa ya Habari 20 Septemba 2022

Taarifa ya Habari 20 Septemba 2022

SBS Swahili - SBS Swahili

play

09/20/22 • 18 min

Bajeti ya mwisho wa mwaka wa biashara wa 2021/22, yazua mvutano kati ya serikali na upinzani wa shirikisho kila pande ikidai ipewe sifa kwa ubora wayo.
bookmark
plus icon
share episode
SBS Swahili - SBS Swahili - Taarifa ya Habari 18 Septemba 2022

Taarifa ya Habari 18 Septemba 2022

SBS Swahili - SBS Swahili

play

09/18/22 • 17 min

Kaimu waziri mkuu Richard Marles atetea jibu rasmi la serikali ya Australia, kwa kifo cha Malkia Elizabeth wa pili.
bookmark
plus icon
share episode
The Frontier Wars ni neno ambalo hutumiwa mara nyingi kuelezea zaidi ya miaka 100 ya migogoro ya vurugu kati yawakoloni na jamii yawa Australia wa kwanza, wakati Wangereza walipo wasili kujenga makaazi yao Australia. Hata kama Australia huenzi uhusika wake katika vita ilivyoshiriki ng'ambo, bado haija tambua mapambano yaliyo ifanya iwe ilivyo leo.
bookmark
plus icon
share episode
SBS Swahili - SBS Swahili - Kipsang "niki imba vilabuni naimbia watu wa Mungu"
play

06/05/24 • 10 min

Kipsang ni msanii mzawa wa Kenya anaye tunga nyimbo naku imba katika lugha yaki Kalenjin.
bookmark
plus icon
share episode

Show more best episodes

Toggle view more icon

FAQ

How many episodes does SBS Swahili - SBS Swahili have?

SBS Swahili - SBS Swahili currently has 661 episodes available.

What topics does SBS Swahili - SBS Swahili cover?

The podcast is about News, Immigration, Society & Culture, Daily News, Lifestyle, Housing, Sbs, Podcasts, Education and Talk Radio.

What is the most popular episode on SBS Swahili - SBS Swahili?

The episode title 'Jinsi yakupata leseni yakuendesha gari Australia' is the most popular.

What is the average episode length on SBS Swahili - SBS Swahili?

The average episode length on SBS Swahili - SBS Swahili is 14 minutes.

How often are episodes of SBS Swahili - SBS Swahili released?

Episodes of SBS Swahili - SBS Swahili are typically released every 19 hours.

When was the first episode of SBS Swahili - SBS Swahili?

The first episode of SBS Swahili - SBS Swahili was released on May 10, 2022.

Show more FAQ

Toggle view more icon

Comments