Vuta picha, wewe ni kijana mdogo wa kiume, una miaka 7, unaishi na baba na mama na wadogo zako. Baba ni mwanasheria anayechipukia kwa kasi sana katika Serikali ya nchi changa ya Tanzania, mnaishi kwenye nyumba zuri ya hadhi ya juu na kila kitu kipo sawa. Then linatokea janga kubwa sana katika familia, unapoteza wadogo zako wote, mama anapelekwa jela na wewe unalala hospitali kwa miezi kadhaa ukiwa haujitambui. Pindi tu unapopata fahamu, baba anakuchukua unaenda kuishi nae nje ya nchi mkiwa mpo wawili tu, wewe na yeye. Hii ni story ya Taji Liundi. Anazungumzia namna gani milima na mabonde aliyovuka na baba yake. Na namna gani experience hii imechangia kumfanya awe namna alivyo sasa hivi.
03/12/21 • 80 min
Generate a badge
Get a badge for your website that links back to this episode
Select type & size
<a href="https://goodpods.com/podcasts/men-the-podcast-190132/ep-30-lessons-from-my-father-17562670"> <img src="https://storage.googleapis.com/goodpods-images-bucket/badges/generic-badge-1.svg" alt="listen to ep 30 - lessons from my father on goodpods" style="width: 225px" /> </a>
Copy